Waziri
Nape ameziona comments za Watanzania na yeye amewajibu baada ya Diamond
kuhudhuria kwenda kutumbuiza kwenye mashindano hayo ya soka Afrika
yanayofanyika Gabon ambapo Nape baada ya kuona imekua gumzo mitandaoni
yeye kumpa Diamond bendera.
Kupitia
Twitter yake Waziri Nape alichukua picha ya Diamond akiwa na wengine
wa Afrika walioziwakilisha nchi zao kwenye mashindano yao wakiwa na
bendera na kuandika "Ulizeni tena kwanini nilimkabidhi bendera Diamond"
Kwa
sababu mjadala umekua mrefu sana kupitia twitter,baada ya post ya
Waziri Nape kwenye watu walioandika tena ni Mbunge Ridhiwani Kikwete
ambaye ameandika: Nafikiri Waziri amepanik kutokana na mashambulizi lkn ukweli ni kuwa tunahitaji kushiriki afcon 2019
No comments:
Post a Comment